Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema ndani ya siku 100 baada ya kuingia Ikulu atarejesha viwanda vya chai nchini. Mwalimu ametoa kauli hiyo leo kwenye mji wa Lu ...
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete, amemhakikishia ushindi mgombea urais CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, kuwa hawako tayari kuchanganya pumba na mchele. Dk. Kikwete ambaye ni Mwenyekiti ms ...
MGOMBEA Urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuligeuza zao la bahari, hususan biashara ya dagaa, ...
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ametimiza mwezi mmoja tangu kuzindua rasmi kampeni zake ...
Tanzania imejumuika na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani inayofanyika Septemba 27 kila mwaka, huku ...
Watu wasioona kutoka mikoa ya Dar es Salaam na Pwani wamenufaika na mafunzo yaliyotolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali ...
Imeelezwa kuwa, utendaji kazi wa Wizara ya Nishati kupitia Taasisi inazosisimamia umezidi kuimarika na kufikia asilimia 96.16 ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inalaani kuibuka upya kwa ukiukwaji wa ...
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amesema hatua ya Serikali yake kutoa ruzuku ya mbolea kwa zao la korosho, kumeongeza uzalishaji wa zao hilo na kuifanya Tanzania kuwa ...
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga mji wa Uyole kuwa Kituo Kikubwa cha ...
CCM presidential candidate President Samia Suluhu Hassan is tomorrow expected to officially commence her campaign in the ...
MGOMBEA Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema serikali yake haitataka wakuu wa Wilaya na wakuu ...