Vituo vitakavyoongezwa uwezo ni pamoja na Ocean Road Dar es Salaam, Bugando Mwanza na vituo vipya katika hospitali za Benjamini Mkapa Dodoma, KCMC Moshi, Mnazi Mmoja Zanzibar na Mbeya ...
Watuhumiwa watakaotaifishiwa mali zao ni Saleh Khamis Baslema na mkewe Gawar Bachi Fakir, Mohamed Abdulla na Andreas Wolfgang Fretz raia wa Ujerumani ...