News

LIMEBAKIA bao moja ili itimie ndoto ya mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah anayetamani amalize msimu kwa mabao kuanzia 10, ...
KIUNGO wa Singida Black Stars, Morice Chukwu raia wa Nigeria, amesema mipango ya klabu hiyo msimu huu inaendelea kutimia, ...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ameuanza vibaya mwaka huu wa 2025 tofauti na uliopita baada ya ...
PEP Guardiola ameonya ataondoka Manchester City iwapo klabu hiyo haitapunguza idadi ya wachezaji kipindi cha majira ya joto.
NYOTA wa Real Madrid, Jude Bellingham anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa bega baada ya mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu, ...
PATRICE Latyr Evra. Beki wa kushoto wa zamani wa klabu kibao vigogo huko Ulaya kama AS Monaco, Manchester United, Juventus ...
KIUNGO fundi wa boli, Kevin De Bruyne ataachana na Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024-25, wakati mkataba wake utakapofika ukomo huko Etihad.
FAINALI ya Europa League itapigwa usiku wa Jumatano na miamba miwili ya Ligi Kuu England, Tottenham Hotspur na Manchester ...
Baada ya kuwapo kwa tetesi kuhusu msanii Lavalava kuondoka katika lebo ya WCB, Diamond Platnumz ameweka wazi akisema msanii ...
SAA kadhaa baada ya mumewe, Stephanie Aziz KI kuondoka nchini kwenda kujiunga na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, Hamisa ...
Kocha wa Asec Mimosas, Julie Chevalier, ametabiri kitakachomtokea Pacome ndani ya Yanga baada ya kuondoka kwa Azizi KI.