News

Azizi Ki ameuzwa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco na tayari ameshaondoka nchini kujiunga na klabu hiyo inayojiandaa na ...
Katika hatua nyingine, Mwalimu amewataka wanachama hao kuungana pamoja katika kukijenga chama hicho kwa wivu mkubwa.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Kilimo imeitaka Serikali kuzingatia matakwa ya utekelezaji wa Azimio la ...
Bodi ya mkonge kwa kushirikiana na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM, Tari Mlingano, NM – AIST) wapo mbioni ...
Mbeya. Wakati kila ifikapo Mei 23 dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Fistula Duniani, umaskini na mila potofu bado ...
Data ni mafuta mapya.’ Ni msemo maarufu uliotolewa na mwanahisabati Clive Humby mwaka 2006. Kama yalivyo mafuta ya petroli, ...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne, wakiwemo wanawake wawili, kwa tuhuma za kukutwa na shehena ya dawa za ...
Fedha hizo ni sehemu ya mkopo wa riba nafuu kutoka Benki ya Dunia kupitia mpango wa maboresho ya huduma za utoaji haki.
Licha ya Polisi 2,000 kuwepo kwa ajili ya kuhakikisha usalama, hali imekuwa ngumu kudhibiti umati mkubwa wa mashabiki ...
Ofisa wa oganizesheni mafunzo na uchaguzi kutoka Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Risasi Semasaba amesema kuwa katika Mkoa wa ...
Chadema ikiongozwa na viongozi mbalimbali, wafuasi na baadhi ya wananchi walikuwa na kambi ya zaidi ya siku 14 katika ofisi ...
Katika ziara hiyo, Ulega aliwahakikishia wakazi wa Sengerema kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kumkabidhi ...