Licha ya vilio vya mara kwa mara, baadhi ya Watanzania wameendelea kulalamika kutapeliwa fedha zao na watu au taasisi ...
Vituo vitakavyoongezwa uwezo ni pamoja na Ocean Road Dar es Salaam, Bugando Mwanza na vituo vipya katika hospitali za Benjamini Mkapa Dodoma, KCMC Moshi, Mnazi Mmoja Zanzibar na Mbeya ...
Uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika chini ya kanuni zinazoweka masharti ya uteuzi wa wagombea na sababu za kuenguliwa.
Mgogoro wa leseni kati ya wachimbaji wadogo na Kampuni ya Sailats Investment Co. Ltd, inayomiliki leseni ya mgodi, pia umedaiwa kuchangia mgogoro umedaiwa kuchangia kufungwa kwa mgodi huo.
Baraza la mpito la Haiti lililoundwa kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta ...
Kwa wafuatiliaji wa muziki wa Hip-hop jina la Dizasta Vinna sio geni masikioni mwao, kutokana na umaarufu aliopata kwenye ...
Kipigo hicho kimeifanya Man City kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya na kuweka rekodi kibao huku ikiiacha timu hiyo na ...
Kwa wafuatiliaji wa muziki wa Hip-hop jina la Dizasta Vinna sio geni masikioni mwao, kutokana na umaarufu aliopata kwenye ...
Dar es Salaam. Wakati mkutano wa 29 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCC - COP-29) ukianza leo Jumatatu, Novemba 11, 2024, Tanzania ambayo ni miongoni ...
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru unatarajiwa kuzikwa Ijumaa, Novemba 15, 2024 katika ...
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru unatarajiwa kuzikwa Ijumaa, Novemba 15, 2024 katika ...
Kesi dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwashirikisha watoto katika siasa imerudishwa tena mahakamani, mara hii ikipelekwa Mahakama ya Rufani baada ya Mahakama Kuu kujivua mamlaka ya kuisikiliza.